Ndoa ya Sugu Yamtia Faiza Kizunguzungu

Mwanadada faiza ally ambae aliwahi kuwa na mahusiano na mbunge wa mbea joseph mbilinyi anaonekana kuteswa na jini la mapenzi kutoka kwa mbunge huyo kutoana na kuumuia kwake kila anapoona mwanasiasa huyo anapiga hatua kubwa katika maisha yake..

Sugu ambae kwa sasa amekuwa na mahusiano mpaya na mwanamke mwingine anaeitwa happy, amekuwa akiandamwa na faiza kila kukicha na hata kumtukana kila matuzi lakini mwanadada huyo hakuwahi kujibu kitu,

wikiendi iliyopita mbunge huyo aliamaua kumvisha pete mama kijacho huyo kitu kilichomfanya faiza atume maombi ya kuvunjika kwa ndoa hiyo huku dua zake ikiwa ni mwanaume huyo kumrudia yeye.

Hata hivyo , hivi karibuni mwanadada huyo kaibuka tena na kusema kuwa amesikia sugu anafunga ndoa mwezi wa ne na haya ndio yalikuwa maneno yake kuhusu ndoa hiyo.

kuna jitu limetumwa kuja kuniambia kuwa harusi ya baba sasha ni mweiz wa nne,  na kunitukana juu..naisubiri hiyo harusi kwa hamu sana… nione kama inaniua au itanibadilisha kitu katika maisha yangu …kwanza bibi harusi sura mbaya haweiz hata kudamshi ..wala hanishtui na pua kama bibo.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.