Niki Atoa Ujumbe Mzito Kuhusu Kujikinga na Ulimwengu wa Roho.

Msanii wa bongo fleva nchini, Niki wa pili ametoa ujumbe mzito kwa mashabiki wake na wote wanaomfuata katika ukurasa wake wa instagram akiwaambia juu ya tabia za watu kutaka kujikinga na maradhi ambayo ni ya ulimwengu wa mwili na kusahau kabisa kuhsu ulimwengu wa roho ambao watu wengi wamekuwa hawajali.

katika kurasa wake wa instagram Niki wa Pili amendika

tunafundishwa kujikinga na maradhi ya mwili  na ujauzito lakini tunasahau kama kuna ulimwengu wa roho pia.

bali kumbuka kutembea na wanawake wengi au wanaume wengi pia kuna athirisana ulimwengu wa roho,utakutana na watu wana maroho yao huko walishawahi kulala kwa waganga, washatambika na wengine walishaua…unajikuta ualishapoteza maana ya maisha bila ya wewe mwenyewe kujua , unajikuta una beba mizigo bila hata ya wewe mwenyewe kujua. wengine wanapoteza mwanga uliopo ndani yao bila hata ya wao wenyewe kujua .kumbuka kuwa unapojifanya kuwa unatumia kinga na kuna sehemu kuna miroho unaibeba hapo.

Mara nyingi niki maekuwa akitoa ushauri sana kwa watu wanaomfuata na siku zote ushauri wake umekuwa mzito na umekuwa ukilenga jamii.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.