Nuh Mziwanda Azungumzia Picha Zake Tata na Amber Lulu

Msanii wa muzikiwa bongo fleva nuh mziwanda maefunguka na kuzungumzia video tata iliyokuwa ikiwaonyesha yeye na msanii mwenzake wa kike ambae lulu wakiwa sehemu faragha  wakiwa katika mapozi ya kimahaba.

Wawili hao wanasadikika kuwa wapenzi hasa baada ya kuonekana kwa vido hiyo ambayo ilisambaa kupitia snap chat ya Amber Lulu.

Kwa mujibu wa Nuh anasema kuwa hakuna chcote kinachoendelaea kimapenzi kati yao bali kuna project wameeianda kati yao na ile iliyovuja walikuwa wamekuta locationkwa ajili ya ku-shoot.

Mimi na Amber tuna project na hakuna kitu chochote, ila mimi niko snap chat kwaio wakati tunashoot video kulikuwa na zile vibes za snapchat  za kucheka, ku-enjoy na kufanya mambo mengine mengi , yeye alikuwa akichukua kwenye sanap na mimi nilikuwa nachukua katika snap lakini haikuwa kwa ubaya, na wala sikumwambia aitoe maana pale ile ni snapchat yake.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.