Penzi la Naj na Baraka Laanza upya, Mahaba Motomoto

Kama ilivyokuwa ikisemekana hapo awali kuwa wawili hawa Naj na Baraka walikuwa katika mgogoro na kusababisha kutokuelewana na hata penzi lao kuota nyasi, wawili hao sasa wameamua kurudi kwa kishindo huku kila mmoja akitaka kuonyesha umma kuwa wako pamoja.

Katika ukurasa wake wa instagram, Baraka aliweka picha ya naj na kuandika  I MISS YOU  na huko upande mweingine kutoankwa Naj akijibu kwa mbwembwe na bashaha na kusema AM COMING HOME MUME WANGU

Mapenzi ya wasanii wengi yamekuwa hayana siri tena  hivyo kwa kila wanachokifanya au kutokea katika masiha yao imekuwa kama ni jambo  la matangazo kwa kila mtu, baraka alikuwa akionekana mpole na mnyonge huku muda wote akionekana akiwa mwenye mawazo,

Wataalamu wa mambo wanasema kuwa kipindi kirefu baraka amekuwa aktika wakati mgumu wa kuachana na mwanamke aliempned alaemfanya kubadili hata dini kwa ajili yake.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.