Pretty kindy Atamani Kuolewa na Diamond.
Mwanadada muigizaji na mwanamuziki kutoka bongo Pretty Kindy anaonyesha kiu yake kubwa ya kutaka kuolewa na diamond platinumz kama ambavyo ikuwa ikisikika katika mitandao kwamba mwanadada huyo yuko mbion kumkwapua Diamond kwa wanawake alionao sasa hivi.
pretty kindy amesema kuwa hakuna mwanamke atakae kataa hata siku moja kuolewa na msanii diamond kwa sababu hiyo nikama bahati kwa baadhi ya wasichana mabao hawajaolewa.akijibu swala aliloulizwa na mwandishi wa habari kama yuko tayari kuolewa na Diamond , Pretty Kindy alijibu
kwa mfano unaktaa aje kwanza,kwa mfano ungekuwa wewe ndio mwanamke ungekataa kweli au, haiwezekani kuwa sio chaguo langu.
Kwa muda sasa imekuwa ikisikika mwanadada huyo akisema kuwa anatamani sana kuwa karibu na kutoka kimapenzi na msanii Diamond Platinumz.