Pretty Kindy Akana Kufunga Ndoa.

Msanii wa bongo movies  pretty kindy  amefunguka na kukana tetesi zilikuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu yeye   kuwa kabla ya kwenda India alikuwa na ndoa  yake lakini alipopata safari hiyo aliamua kuikimbia ndoa yake na kwenda kufanya kazi ya kudanga ambayo hata hivyo mwishoni haikumletea manufaa yoyote..

Tetesi hizo ambazo zilisambaa sana katika mitandao ya kijamii zimekuwa zikimharibia jina lake na kwamba hakuwahi kuolewa na mtu yeyote kama ambavyo watu wamekuwa wakimzushia.hata hivyo mwanadada huyo amekubali kuwa alikuwa akiishi na mwanaume huko Mwanza ambae alikuwa akikaa nae kinyumba lakini bwana huyo hakuwahi kumuoa.

Haya ni maneno ya watu wanaotaka kuniharibia cv yangu,huyo mwanaume sikuwahi kufunga nae ndoa ya serikali wala kimila,ila nilishawahi  kukaa nae kinyumba tu na nilimwaga  kabla hata sijasafiri kwenda huko nje ya nchi.iweje madai yaibuke leo. Amefunguka mwanadada Pretty Kindy.

Inasemekana kuwa hata baada ya kufika India mwandada huyo alikubwa na skendo ya kubakwa na kuwa alikwenda china kwa ajili ya kazi ya kudanga na kuuza mwili.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.