Sabby Angel Akataa Ndoa, Agoma Kutolewa Mahari ng’ombe 10

Mwanadada Sabby Angel amegoma kuolewa kwa mahari ya milioni 1 na ngombe 10 ilhali alisema kuwa anataka kufanya search kwa ajili ya kupata mwanaume wa kumuoa.

Tarifa zinasema kuwa mwanaume huyo anaetokea kanda ya ziwa huko mkoani mara amaetaka kutoa mahari ya shilingo milion 1 na ng;ombe 10 lakini mwanadada huyo hakutaka kuolewa na kijana huyo

Hata hivyo sababu inayotajwa chini ya kapeti ya mwanadada huyo kukataa kuolewa na kijana huyo ni kwa sababu mwanaume huyo ametaka mwanadada huyo kuhamia kijijini  na kufanya shuguli za kilimo na ufugaji na kuachana na mambo ya mjini.

Hii ni siku chache tangu mwanadada huyo kutamngaza kuwa anataka kuolewa kwa ngombe 50 na mbuzi kumi kama mahari.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.