Siamini Kama Hamisa Kapigwa na Mama Diamond;- Mama Mobeto
Mama mzazi wa mwanandada Hamisa Mobeto amekanusha kabisa tetesi zinazodi kusambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu mtoto wake huyo wa kike kupokea kipigio kutoka kwa mama mkwe wake huku sababu kubwa ikiwa ni mama huyo kutokutaka kukaribu mkubwa uliopo sasa kati ya Hamisa na Diamond.
Kwa habari za kunyapia nyapia zinasema kuwa Hamisa na Diamond wenda wakawa mwamerudia kutokana na ukweli kwamba wawili hawa wameonekankuwa karibu sana sasa hivi katika sehemu nyingi na sehemu nyingine wamekuwa wakishindwa kujificha kabisa.
Hata hivyo inasemekana kuwa hamisa ambehamia nyumbani kwa diamond ambapo mama mzazi wa Diamond alikwenda nyumbani hapo na kumkuta Hamisa na kisha kumpa kipondo huku akiseam kuwa kamwe hataki kusikia wala kuona ukaribu wao na kwamba hataki hamisa kuolewa na mtoto wake huyo wa pekee wa kiume.
Baada ya kusambaa kwa taarifa hizo Mama Diamond aliongea na gpl na kuthibitisha kuwa mempa kipigo hamisa ingawa hamisa alisema hakuna kitu kama icho lakini pia mama mzazi wa Hamisa amesema kuwa hata yeye hajaamini swala hilo.
Mama Mobeto amesema kuwa anajua kuwa Hamisa hajapigwa na mama diamond lakini pia hatokaa aamini swala hilo kwa sababu Hamisa ni mtu mzima sasa hawezi kuruhusu hayo yatokee na kuwa namjua sana binti yake kwaio anajua jinsi ya kujikinga kutokuvunjiwa heshima.