Sichezi kwa Pesa Coastal Union :-Alikiba

Msanii Alikiba amefunguka na kuzungumzia mkataba wake katika  timu ya Coastal union ambayo kwa sasa pia inashiriki katika mechi za ligi kuu ya tanzania huku alikiba pia akiwepo katika mechi hioz na kufanikiwa kucheza baadhi ya mechi.

Akiongea na Clouds Media, Alikiba aliongelea kuhusu  kataba wake na coastal union ambapo wiki iliyopita zilisambaa habari kuwa mwanamuziki huyo ameachana na mkataba wa timu hiyo.

Alikiba anasema hachezi mpira kwa sababu ya psa lakini anacheza kwa sababu anaupenda mpira  lakini pia kwa sababu kinywaji chake cha mo faya pia kiandhamini timu hiyo kwa sasa.

mimi silipwi, sichezi mpira kwa pesa nacheza for fun,  vilevle napenda kucheza tu mpira na nimeweza kuitangaza coastal  zaidi na pia coastal yanaitangaza mo faya zaidi , hii pia imenipa millage kubwa zaidi.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.