Studio ya WCB Sio ya Wasafi Pekee Yao;Laizer

Mtayarishaji wa nyimbo katika studio ya WCB amefunguka na kusema kuwa studio ya wcb sio kwa ajili ya wasanii wa wcb pekee ula inawakaribisha pia hata wasanii kutoka nje kufanya nao kazi .Laizer amesema kuwa kwa sasa wameamua kufungua milango na kufanya kazi na wasanii kutoka nje kwa sababu kuna wasanii wengi wanaoitaji fursa kama hizo.

kazi tofauti na wasanii wa wasafi zinakuja na zitatoka soon,ninachoweza kusema ni kwamba wasanii mbalimbali waje tu studio na tutafanya nao kazi,studio inapokea kila aina ya msanii na kila aina ya msanii anaweza kufanya kazi, wa ncho tofauti tofauti  wasidhani kuwa nii wasafi pekee..

Wasanii kama Chege, Dully na wengine waliwahi kufanya kazi katika studio hiyo na mtayarishaji huyo amekuwa miongoni mwa  watayarishaji wanaojivunia sana kufanya kazi nzuri na kuweza kutangaza muziki wa lebl hiyo.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.