Tanasha Dona asema Hamjui Ruge Mutahaba.

Mwanadada Tanasha Dona amefunguka alipokuwa akijibu baadhi ya maoni ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii huku akisema kuwa Ruge hamjui na hajui kama ni wa kike au wa kiume.

Akijibu moja ya maswali aliyokuwa akiulizwa na mashabiki wake kwamba kwanini amekuwa akipost vitu vingine katika mitandao ya kijamii na kusahau kuwa kwa sasa Tanzania iko katika majonzi ya kumpoteza moja ya watu muhimu sana.

Hata hivyo kwa kupanic na hasira, mwanadada huyo aliamua kujibu na kusema “first of all i have no ideas who passed away, my condolences go to his or her family , my he or her rest in peace,,R.I.P.. “

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.