TANZIA :-Alikiba Afiwa na Baba yake Mzazi

Baba mzazi wa msanii Ali Saleh Kiba amefariki alfajiri ya leo  jijini Dar Es Salaam alipokuwa hspitali ya taifa ya Muhimbili ambapo alilazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya malazi yaliyokuwa yakimsumbua.

Hata hivyo iekuwa bado mapema sana kutoa taarifa za mazishi ya msiba huo kwa sababu ya kusbiri ya mazungumzo ya vkalo vya familia hivyo mashabiki na watu wa karibu wanaombwa kuwa watulivu mpaka familia itakapotoa taarifa za msiba na mazishi  hayo.

Pole kwa familia ya msanii Alikiba na Abdul kiba.

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.