Tanzia: Mke Wa Ephraim Kibonde Afariki Dunia

Mtangazaji wa Clouds Fm Ephraim Kibonde anayetangaza kipindi cha Jahazi Amefiwa na mke wake Sarah Kibonde.

Taarifa hizo za Kifo Cha mama huyo zilitolewa na mtangazaji mwenzake na Kibonde anayeitwa Gardner G Habash.

Kimeelezwa chanzo cha Kifo chake ni ambayo yalimpelekea kulazwa katika hospitali ya Hindu Mandal na inaelezwa kuwa Kibonde alikuwa bega kwa bega na mke wake mpaka anapoteza maisha yake.

Mwenyezi Mungu aendelee kuilaza roho Ya marehemu mahala Pema peponi Amina.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.