{"id":178,"date":"2017-03-21T16:15:36","date_gmt":"2017-03-21T16:15:36","guid":{"rendered":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?p=178"},"modified":"2017-03-21T16:15:36","modified_gmt":"2017-03-21T16:15:36","slug":"harmonize-akashifu-madai-kwamba-wolper-aliwai-kufanya-mapenzi-na-boss-wake-diamond-platnumz","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/harmonize-akashifu-madai-kwamba-wolper-aliwai-kufanya-mapenzi-na-boss-wake-diamond-platnumz\/","title":{"rendered":"Harmonize akashifu madai kwamba wolper aliwai kufanya mapenzi na boss wake Diamond Platnumz"},"content":{"rendered":"<p>Mwanamuziki Harmonize amejitokeza kukashifu madai ya kwamba mpenzi wake wa hapo awali Wolper alikua na uhusiano wa kimapenzi na boss wake Diamond Platnumz.<\/p>\n<p>I DON\u2019T KNOW ABOUT THAT, SIJUI KAMA JACKIE ALISHAWAHI KUDATE NA CHIBU D. SIJUI NA SIJAWAHI KUSIKIA. MIMI MWANAKIJIJI BRO MJINI SIJAFIKA SIKU NYINGI, SO SIJUI NA SIJAWAHI KUSIKIA NDIO KWANZA UNANISUPRISE. KUMBE ILISHAWAHI KUTOKEA HIVYO?,\u201d Alijibu wakati aliulizwa hilo swali.<\/p>\n<p>Mwamuziki ametoa wimbo mpya alowakilisha Wolper kama video vixen na uvumi ukaanza kusambaa kwamba alimwandikia wimbo hiyo jambo ambalo amelikana.<\/p>\n<p>Also read:<a href=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/2017\/03\/16\/msanii-kutoka-wasafi-harmonize-azungumza-mara-ya-kwanza-kuhusu-uhusiano-wake-na-wolper\/\">Msanii kutoka Wasafi Harmonize azungumza mara ya kwanza kuhusu uhusiano wake na Wolper<\/a><\/p>\n<p>Jambo la kutisha ni kwamba lazima angeomba mdosi wake Diamond ruhusa la kuingia na uwasiliano wowote na Wolper.<\/p>\n<p>\u201cCONFIRMATION NILIYOKUWA NAIHITAJI SIO HIYO BRO, NILIKUWA NATAKA CONFIRMATION KUTOKA KWA DIAMOND KWAMBA ANAONAJE MIMI NIKIKAA PALE KWA WOLPER. ALINIJIBU KUWA NI MWANAMKE MZURI LAKINI HAKUNIAMBIA KAMA ALISHAWAHI KUDATE NAYE NA WALA JACKIE HAJAWAHI KUNIAMBIA KAMA ALISHAWAHI KUDATE NA DIAMOND,\u201d Alikamilisha jambo hilo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Mwanamuziki Harmonize amejitokeza kukashifu madai ya kwamba mpenzi wake wa hapo awali Wolper alikua na uhusiano wa kimapenzi na boss wake Diamond Platnumz. I DON\u2019T KNOW ABOUT THAT, SIJUI KAMA JACKIE ALISHAWAHI KUDATE NA CHIBU D. SIJUI NA SIJAWAHI KUSIKIA. MIMI MWANAKIJIJI BRO MJINI SIJAFIKA SIKU NYINGI, SO SIJUI NA SIJAWAHI KUSIKIA NDIO KWANZA UNANISUPRISE. [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":2840,"featured_media":179,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[3],"tags":[61],"class_list":["post-178","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-music","tag-harmonize-and-wolper-news"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/178","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2840"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=178"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/178\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":180,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/178\/revisions\/180"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media\/179"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=178"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=178"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=178"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}