{"id":5098,"date":"2017-10-26T09:48:11","date_gmt":"2017-10-26T06:48:11","guid":{"rendered":"https:\/\/www.ghafla.com\/tz\/?p=5098"},"modified":"2017-10-26T09:48:11","modified_gmt":"2017-10-26T06:48:11","slug":"shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/","title":{"rendered":"Shusho Aongelea Ishu Yake Na  Mashabiki Wake Wa Kenya"},"content":{"rendered":"<p>Yeye ni mmoja wa wanamama wanaopendwa sana na mashabiki zake hasa kwa sababu ya nyimbo zake za injili zinazosaidia kutia moyo na kutoa faraja, Christina Shusho ambae alijizolea mashabiki wengi zaidi\u00a0 nchini Kenya kuliko hata nchini Tanzania amefunguka na kuongelea ishu ya yeye kutukanwa na mashabiki wake wa nchini Kenya baada ya\u00a0 kupost picha ya moja wa wagombea wa uraisi nchini Kenya huku akiporomosha maombi kwa mgombea huyo.<\/p>\n<p>Christina Shusho alipost picha ya Uhuru Kenyata na kutoa maombi kwake kwa kipindi hiki cha uchaguzi , lakini kitu cha kustaabisha ni kwamba mashabiki wake kutoka Kenya walimvaa kwa matusi katika ukurasa wake wa instagram na kumwambia kuwa anachofanya ni kuwagawa mashabiki wake.<\/p>\n<p>Akiongea na East Africa Television , msanii Shusho anaelezea alivyoyapokea matusi hayo na alichukuliaje swala hilo na ni kitu gani aliamua kufanya ili\u00a0 kuwapoza mashabiki wake&#8221;<strong>unajua ile ni mihemuko tu inayokuwa iko miongoni mwa watu hasa katika kipindi kama hiki ambacho wakenya wanakipitia kwa sasa,mimi nilikuwa nafanya tu maombi nikasema sio shida nimuombee na raisi wa Kenya , basi wakanijia juu na kuanza kunitukana, wakawatafuta mpaka marafiki zangu wa kule wakaanza pia kuwatukana,ni kitendo ambacho kilinishtua sana nikaona basi isiwe tabu\u00a0 acha tu nimpost na huyo mwingine ili\u00a0 niweke usawa lakini naomba ndugu zangu wa kenya wajue kuwa sikuwa na nia yoyote ya kuwagawa au kuwa na upendeleo&#8221;<\/strong> alifunguka Christina Shusho<\/p>\n<p>Christna Shusho ni mmoja wa wasanii\u00a0 \u00a0wa kike wa injili wenye ushawishi mkubwa sana katika mitandao ya kijamii na ni kwa sababu amekuwa na mashabiki wengi sana, inawezekana ni kweli kuwa\u00a0 kitendo chake cha kupost mgombea wa upande mmoja kingefanya kupoteza baadhi ya mshabiki\u00a0 zake kwa sababu\u00a0 \u00a0mashabiki wanaompenda ni watu wenye itikadi tofauti\u00a0 tofauti hivyo kufanya hivyo ni kuweka upendeleo kwa wale wanaomwamini mgombea huyo huko akionyesha kama kuwatenga wale wa upande mwingine, lakini pia alifanya vizuri alipoamua kuweka usawa katika hilo.<\/p>\n<p>Nchi ya Kenya wanategemea kurudia\u00a0 kufanya uchaguzi wa uraisi tarehe 26 Oktoba.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Yeye ni mmoja wa wanamama wanaopendwa sana na mashabiki zake hasa kwa sababu ya nyimbo zake za injili zinazosaidia kutia moyo na kutoa faraja, Christina Shusho ambae alijizolea mashabiki wengi zaidi\u00a0 nchini Kenya kuliko hata nchini Tanzania amefunguka na kuongelea ishu ya yeye kutukanwa na mashabiki wake wa nchini Kenya baada ya\u00a0 kupost picha ya [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":6030,"featured_media":5099,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[10369],"class_list":["post-5098","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-entertainment","tag-christina-shusho-news"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v26.4 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya - Ghafla! Tanzania<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya - Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Yeye ni mmoja wa wanamama wanaopendwa sana na mashabiki zake hasa kwa sababu ya nyimbo zake za injili zinazosaidia kutia moyo na kutoa faraja, Christina Shusho ambae alijizolea mashabiki wengi zaidi\u00a0 nchini Kenya kuliko hata nchini Tanzania amefunguka na kuongelea ishu ya yeye kutukanwa na mashabiki wake wa nchini Kenya baada ya\u00a0 kupost picha ya [&hellip;]\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2017-10-26T06:48:11+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"622\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"401\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/png\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"2 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\/\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\"},\"author\":{\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\"},\"headline\":\"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya\",\"datePublished\":\"2017-10-26T06:48:11+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\"},\"wordCount\":325,\"commentCount\":0,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png\",\"keywords\":[\"Christina shusho news\"],\"articleSection\":[\"Entertainment\"],\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#respond\"]}],\"copyrightYear\":\"2017\",\"copyrightHolder\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization\"}},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\",\"name\":\"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya - Ghafla! Tanzania\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png\",\"datePublished\":\"2017-10-26T06:48:11+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png\",\"width\":622,\"height\":401},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"description\":\"Get The Latest Tanzanian Entertainment News\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"width\":187,\"height\":60,\"caption\":\"Ghafla! Tanzania\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\"}},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\",\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"caption\":\"Expedicto Lilian\"},\"description\":\"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya - Ghafla! Tanzania","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya - Ghafla! Tanzania","og_description":"Yeye ni mmoja wa wanamama wanaopendwa sana na mashabiki zake hasa kwa sababu ya nyimbo zake za injili zinazosaidia kutia moyo na kutoa faraja, Christina Shusho ambae alijizolea mashabiki wengi zaidi\u00a0 nchini Kenya kuliko hata nchini Tanzania amefunguka na kuongelea ishu ya yeye kutukanwa na mashabiki wake wa nchini Kenya baada ya\u00a0 kupost picha ya [&hellip;]","og_url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/","og_site_name":"Ghafla! Tanzania","article_published_time":"2017-10-26T06:48:11+00:00","og_image":[{"width":622,"height":401,"url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png","type":"image\/png"}],"author":"Expedicto Lilian","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Expedicto Lilian","Est. reading time":"2 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/"},"author":{"name":"Expedicto Lilian","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0"},"headline":"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya","datePublished":"2017-10-26T06:48:11+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/"},"wordCount":325,"commentCount":0,"publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png","keywords":["Christina shusho news"],"articleSection":["Entertainment"],"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#respond"]}],"copyrightYear":"2017","copyrightHolder":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization"}},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/","name":"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya - Ghafla! Tanzania","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png","datePublished":"2017-10-26T06:48:11+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#primaryimage","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/10\/shusho.png","width":622,"height":401},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/shusho-aongelea-ishu-yake-yake-na-mahabiki-wake-wa-kenya\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Shusho Aongelea Ishu Yake Na Mashabiki Wake Wa Kenya"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","name":"Ghafla! Tanzania","description":"Get The Latest Tanzanian Entertainment News","publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization","name":"Ghafla! Tanzania","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","width":187,"height":60,"caption":"Ghafla! Tanzania"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/"}},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0","name":"Expedicto Lilian","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","caption":"Expedicto Lilian"},"description":"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5098","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/6030"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5098"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5098\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5100,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5098\/revisions\/5100"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5099"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5098"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5098"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5098"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}