{"id":5532,"date":"2017-11-08T10:51:06","date_gmt":"2017-11-08T07:51:06","guid":{"rendered":"https:\/\/www.ghafla.com\/tz\/?p=5532"},"modified":"2017-11-08T10:51:06","modified_gmt":"2017-11-08T07:51:06","slug":"nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/","title":{"rendered":"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara"},"content":{"rendered":"<p>Hakuna ambae hataki kusogea kutoka pale alpo na kufika sehemu nzuri zaidi,mafanikio yanamfanyan mtu anakuwa jasiri na kuwa na amani ya kile anachokifanya, ikitokea mtu anafanya kitu lakini hakuna mafanikio ujikuta anakta tamaaa na kuacha kabisa kuendelea na jambo fulani.sio kila mwenye majumba, magari na fedha nyingi basi huyo amefanikiwa.kuna watu wanakuwa na hivyo vyote kupitia njia ambazo sio halali kabisa.mafanikio ni vile mtu ameweza kuanza toka chini na kufikia hali hiyo.<\/p>\n<p>kwaio ili kufanikiwa ni azima kuwa na nguzo\u00a0 zifuatazo;<\/p>\n<p><strong>1.kupanga<\/strong><\/p>\n<p>siku zote mipango ndio inatoa majukumu ya\u00a0 kufanya. kwa mfano kama leo ujapanga ni kitu gani unataka kufanya kesho yake unaweza kujikuta kesho kuanzia asubui umelala au unazunguka tu siku nzima bila kuwa na sababu.katika kupanga ni lazima uwe na maono ya kile unachotaka kufanikiwa kuwa nacho ndani ya muda fulani.<\/p>\n<p><strong>2.Kupenda kufanya unachokifanya<\/strong>.<\/p>\n<p>Hapa tunazungumzia kitu kinaitwa Passion.Hii ni vile unaweza kujitoa na kujituma zaidi ilikupata yale mafanikio uliokuwa umeyapanga,jitahidi kukipenda kile unachokifanya lakini kama ya kukipenda wakati unakicgahua hakikisha kinatoka ndani ya moyo wako.Kwa mfano wapo wanaolazimika kusoma kozi fulani kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao basi jitahidi kupoenda hicho kitu na kama unaona haitawezekana ni bora kuacha.Kwa mwanafunzi anaesomea sayansi, endapo atakuwa anapenda sayansi basi atakuwa anajitaidi kupata\u00a0 alama A kila siku kwa sbabu ni kitu anachokipenda.<\/p>\n<p><strong>3.Kuwa mwenye kujiamini<\/strong><\/p>\n<p>Siku zote ukishakuwa mwenye kujiamini unakuwa na moyo wa kuchukua hatua za kila unachotaka kufanya.Hata kama kuna watu wanakufanya ukate tamaa ukishajiamini wala hauna haja ya kusikilza nani anasema nini.<\/p>\n<p><strong>4.Kuvumilia<\/strong><\/p>\n<p>Hakuna kazi ,biashara au elimu ambayo haina makwazo na changamoto, hakuna kitu rahisi\u00a0 Duniani lakini uvumilivu ndio utakao kufanya wewe uweze kufanikiwa katika kila unachotaka kuweka mafanikio.Kuna muda utaona kabisa mambo yanakuwa magumu, hapo ndipo unatakiwa kuonyesha ni jinsi gani ulikuwa tayari kufanikwa kwa kuonyesha uvumilivu wako katika hilo.<\/p>\n<p><strong>5.Kuwa na mpango mbadal<\/strong>a<\/p>\n<p>Sio kila utakachoamua kufanya kwa muda huo kinaweza kufanikiwa, hapana !! lakini kuna muda unahitaji kuwa na njia mbadala ya kufanya baada ya kile ulichokifanya kwanza kushindwa.Wapo ambao wanapoona njia ya kwanza imeshindikana basi na wao wanaachia hapohapo.kuwa na njia mbadala ya ile ya kwanza ili kuweza kufika malengo.<\/p>\n<p><strong>6.Fanya vitu\u00a0 kwa vipaumbele<\/strong>.<\/p>\n<p>Katika kufanya jambo ni lazima ujue lipi ni la muhimu zaidi kuliko lingine, kuwa na akili ya kuchambua mambo unayotaka kufanya na kujua kipi kinatakiwa lianze na lipi kinafuata baada ya hicho.Katika mipango yako siku zote jua kipi ni muhimu zaidi cha kwanza na kinachofuata na kinachofuata na ujue sababu ya kufanya jambo fulani kuwa ni la muhimu zaidi kuliko lingine.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Hakuna ambae hataki kusogea kutoka pale alpo na kufika sehemu nzuri zaidi,mafanikio yanamfanyan mtu anakuwa jasiri na kuwa na amani ya kile anachokifanya, ikitokea mtu anafanya kitu lakini hakuna mafanikio ujikuta anakta tamaaa na kuacha kabisa kuendelea na jambo fulani.sio kila mwenye majumba, magari na fedha nyingi basi huyo amefanikiwa.kuna watu wanakuwa na hivyo vyote [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":6030,"featured_media":5538,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[5],"tags":[],"class_list":["post-5532","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-lifestyle"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v26.4 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara - Ghafla! Tanzania<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara - Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Hakuna ambae hataki kusogea kutoka pale alpo na kufika sehemu nzuri zaidi,mafanikio yanamfanyan mtu anakuwa jasiri na kuwa na amani ya kile anachokifanya, ikitokea mtu anafanya kitu lakini hakuna mafanikio ujikuta anakta tamaaa na kuacha kabisa kuendelea na jambo fulani.sio kila mwenye majumba, magari na fedha nyingi basi huyo amefanikiwa.kuna watu wanakuwa na hivyo vyote [&hellip;]\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2017-11-08T07:51:06+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"274\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"184\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"2 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\/\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\"},\"author\":{\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\"},\"headline\":\"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara\",\"datePublished\":\"2017-11-08T07:51:06+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\"},\"wordCount\":434,\"commentCount\":0,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg\",\"articleSection\":[\"Lifestyle\"],\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#respond\"]}],\"copyrightYear\":\"2017\",\"copyrightHolder\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization\"}},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\",\"name\":\"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara - Ghafla! Tanzania\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg\",\"datePublished\":\"2017-11-08T07:51:06+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg\",\"width\":274,\"height\":184},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"description\":\"Get The Latest Tanzanian Entertainment News\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"width\":187,\"height\":60,\"caption\":\"Ghafla! Tanzania\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\"}},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\",\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"caption\":\"Expedicto Lilian\"},\"description\":\"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara - Ghafla! Tanzania","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara - Ghafla! Tanzania","og_description":"Hakuna ambae hataki kusogea kutoka pale alpo na kufika sehemu nzuri zaidi,mafanikio yanamfanyan mtu anakuwa jasiri na kuwa na amani ya kile anachokifanya, ikitokea mtu anafanya kitu lakini hakuna mafanikio ujikuta anakta tamaaa na kuacha kabisa kuendelea na jambo fulani.sio kila mwenye majumba, magari na fedha nyingi basi huyo amefanikiwa.kuna watu wanakuwa na hivyo vyote [&hellip;]","og_url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/","og_site_name":"Ghafla! Tanzania","article_published_time":"2017-11-08T07:51:06+00:00","og_image":[{"width":274,"height":184,"url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Expedicto Lilian","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Expedicto Lilian","Est. reading time":"2 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/"},"author":{"name":"Expedicto Lilian","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0"},"headline":"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara","datePublished":"2017-11-08T07:51:06+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/"},"wordCount":434,"commentCount":0,"publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg","articleSection":["Lifestyle"],"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#respond"]}],"copyrightYear":"2017","copyrightHolder":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization"}},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/","name":"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara - Ghafla! Tanzania","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg","datePublished":"2017-11-08T07:51:06+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#primaryimage","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/11\/images-7.jpg","width":274,"height":184},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/nguzo-za-kufanikiwa-katika-elimu-na-biashara\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Nguzo Za Kufanikiwa Katika Elimu Na Biashara"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","name":"Ghafla! Tanzania","description":"Get The Latest Tanzanian Entertainment News","publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization","name":"Ghafla! Tanzania","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","width":187,"height":60,"caption":"Ghafla! Tanzania"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/"}},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0","name":"Expedicto Lilian","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","caption":"Expedicto Lilian"},"description":"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5532","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/6030"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=5532"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5532\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":5539,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/5532\/revisions\/5539"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5538"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5532"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=5532"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=5532"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}