{"id":6092,"date":"2017-11-24T12:01:15","date_gmt":"2017-11-24T09:01:15","guid":{"rendered":"https:\/\/www.ghafla.com\/tz\/?p=6092"},"modified":"2023-05-06T16:05:50","modified_gmt":"2023-05-06T13:05:50","slug":"sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/","title":{"rendered":"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa  Kuvunjika."},"content":{"rendered":"<p>Ndoa nyingi sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu tu watu wamekuwa hawana\u00a0 uhalisia wa maisha yao ya kawaida kwaio wanapokutana ndani katika ndoa kila mmoja anashangaa kuona mwenzie amekuwa mpya kitabia, wakinadada wengi wamekuwa na maisha ya kuigiza, hii\u00a0 simaanishi kuwa wakina kaka hawapo hivyo lakini wakina dada wamezidi kwa hilo.<\/p>\n<p>Kwanini ndoa nyingi za sasa zimekuwa zikivunjika , ni kwa sababu ya kufeki maisha katika vitu vifuatavyo.<\/p>\n<p><strong>Uvaaji<\/strong>.<\/p>\n<p>Mnapokuwa\u00a0 katika kipindi cha mahusiano mwenzi wako alikuwa akipenda kuvaa mavazi ya staa na heshima sana, kumbe alikuwa katika hatua za kutafuta ndoa.Ikifikia mpo ndani sasa na mmeshafunga ndoa kwaio ameshakipata kile alichokuwa anakitaka\u00a0 mnaanza kushangaana, kama ni mwanamke ataanza kuvaa vinguo vyake vya ajabu , vifupi au mwanaume anaacha kuwa nadhifu mpaka mnaanza kupigizana makelele kwenye swala hilo.<\/p>\n<p><strong>Namna ya kuongea<\/strong>.<\/p>\n<p>Wapo baadhi ya watu ujifanya sio waongeaji sana katika kipindi cha urafiki na ujifanya ni watu wa kusikiliza na kutenda zaidi kuliko kitu chochote kumbe ni\u00a0 hatari midomoni, sasa hapo unaanza kuona mabadiliko mkifika ndani anaanza kuonyesha makucha yake\u00a0 kwa mwenzi wake mpaka anafikia hatua ya kujuta na kushangaa mdomo huo ameutoa wapi.<\/p>\n<p><strong>Swala la utii<\/strong>.<\/p>\n<p>Hakuna asiependa kusikilizwa na mwenzie, au kuonyeshwa utii na yule anaempenda, ni bora zaidi kuwa na tabia zako ili kama mtu anakupenda na kukubali kuwa na wewe katika ndoa basi awe ameshakubaliana na kila kitu, sio mnaingia katika ndoa mwanamke anaanza kuwa anajibu ovyo, hasikilizi yale anayoambiwa, hapo ndoa haiwezi kudumu hata mara moja.<\/p>\n<p><strong>Matumizi<\/strong>.<\/p>\n<p>Hapa napo watu wengi wanakuwa wanashindwana kwa sababu mkiwa na urafiki kabla ya ndoa mtu anakuwa na matumizi ya kubana na kufanya bajeti sana na hata wakati mwingine ukimpa ela anaweza kuikataa kwamba tuifanyie kitu fulani ambacho wote mtakiona na maana ,lakini ikitokea sasa mmekaa ndani anaanza ufujaji wa mali na fedha.<\/p>\n<p><strong>Swala la faragha<\/strong>.<\/p>\n<p>Ukweli itabidi ubaki kuwa ukweli, kama una kasoro fulani katika jambo ilo ni bora likaonekana mapema ili mwenzi wako haweze kujua ni namna gani mnaweza kulitatua, kuna watu wamekuwa wakifoji jinsi ya kushughulika anapokuwa faragha, anajituma na majonjo yote, mkifika kwenye ndoa sasa\u00a0 yeye ndo mvivu wa kwanza mpaka mtu anashangaa labda unamwa au kuna kitu kimekupata kumbe hakuna lolote.<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Ndoa nyingi sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu tu watu wamekuwa hawana\u00a0 uhalisia wa maisha yao ya kawaida kwaio wanapokutana ndani katika ndoa kila mmoja anashangaa kuona mwenzie amekuwa mpya kitabia, wakinadada wengi wamekuwa na maisha ya kuigiza, hii\u00a0 simaanishi kuwa wakina kaka hawapo hivyo lakini wakina dada wamezidi kwa hilo. Kwanini ndoa nyingi za sasa [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":6030,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[5],"tags":[],"class_list":["post-6092","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-lifestyle"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v26.4 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika. - Ghafla! Tanzania<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika. - Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Ndoa nyingi sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu tu watu wamekuwa hawana\u00a0 uhalisia wa maisha yao ya kawaida kwaio wanapokutana ndani katika ndoa kila mmoja anashangaa kuona mwenzie amekuwa mpya kitabia, wakinadada wengi wamekuwa na maisha ya kuigiza, hii\u00a0 simaanishi kuwa wakina kaka hawapo hivyo lakini wakina dada wamezidi kwa hilo. Kwanini ndoa nyingi za sasa [&hellip;]\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2017-11-24T09:01:15+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2023-05-06T13:05:50+00:00\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"2 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\/\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\"},\"author\":{\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\"},\"headline\":\"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika.\",\"datePublished\":\"2017-11-24T09:01:15+00:00\",\"dateModified\":\"2023-05-06T13:05:50+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\"},\"wordCount\":363,\"commentCount\":0,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"articleSection\":[\"Lifestyle\"],\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#respond\"]}],\"copyrightYear\":\"2017\",\"copyrightHolder\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization\"}},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\",\"name\":\"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika. - Ghafla! Tanzania\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\"},\"datePublished\":\"2017-11-24T09:01:15+00:00\",\"dateModified\":\"2023-05-06T13:05:50+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika.\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"description\":\"Get The Latest Tanzanian Entertainment News\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"width\":187,\"height\":60,\"caption\":\"Ghafla! Tanzania\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\"}},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\",\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"caption\":\"Expedicto Lilian\"},\"description\":\"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika. - Ghafla! Tanzania","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika. - Ghafla! Tanzania","og_description":"Ndoa nyingi sasa zimekuwa zikivunjika kwa sababu tu watu wamekuwa hawana\u00a0 uhalisia wa maisha yao ya kawaida kwaio wanapokutana ndani katika ndoa kila mmoja anashangaa kuona mwenzie amekuwa mpya kitabia, wakinadada wengi wamekuwa na maisha ya kuigiza, hii\u00a0 simaanishi kuwa wakina kaka hawapo hivyo lakini wakina dada wamezidi kwa hilo. Kwanini ndoa nyingi za sasa [&hellip;]","og_url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/","og_site_name":"Ghafla! Tanzania","article_published_time":"2017-11-24T09:01:15+00:00","article_modified_time":"2023-05-06T13:05:50+00:00","author":"Expedicto Lilian","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Expedicto Lilian","Est. reading time":"2 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/"},"author":{"name":"Expedicto Lilian","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0"},"headline":"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika.","datePublished":"2017-11-24T09:01:15+00:00","dateModified":"2023-05-06T13:05:50+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/"},"wordCount":363,"commentCount":0,"publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"articleSection":["Lifestyle"],"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#respond"]}],"copyrightYear":"2017","copyrightHolder":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization"}},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/","name":"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika. - Ghafla! Tanzania","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website"},"datePublished":"2017-11-24T09:01:15+00:00","dateModified":"2023-05-06T13:05:50+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/sababu-ya-ndoa-nyingi-za-sasa-kuvunjika\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Sababu Ya Ndoa Nyingi Za Sasa Kuvunjika."}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","name":"Ghafla! Tanzania","description":"Get The Latest Tanzanian Entertainment News","publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization","name":"Ghafla! Tanzania","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","width":187,"height":60,"caption":"Ghafla! Tanzania"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/"}},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0","name":"Expedicto Lilian","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","caption":"Expedicto Lilian"},"description":"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6092","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/6030"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=6092"}],"version-history":[{"count":6,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6092\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":6191,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/6092\/revisions\/6191"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=6092"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=6092"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=6092"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}