{"id":7884,"date":"2017-12-22T14:37:25","date_gmt":"2017-12-22T11:37:25","guid":{"rendered":"https:\/\/www.ghafla.com\/tz\/?p=7884"},"modified":"2017-12-22T14:37:25","modified_gmt":"2017-12-22T11:37:25","slug":"mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/","title":{"rendered":"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena"},"content":{"rendered":"<p>Kumekuwa na taarifa zisizoeleweka kuhusu shindano la miss tanzania mwaka huu kufa nyika au kutokufanyika kabisa, mara ya kwanza ilisemekana kuwa bado wanarafura wadhamini amabo watakuwa wanatoa ahadi za ukweli kwa washuindi wanaposhinda kwa sababu mwaka uliopita mshindi wa Miss Tanzalia aliangaika sana mpaka kupata zawadi zake na hata hivyo kuba baadhi ya zawadi hakuzipata kabisa.<\/p>\n<p>Limekuwa ni moja ya jambo la kusua sua kwa fainali ya Miss Tanzania kufanyika wakati huko mikoani na katika ngazi ndogondogo jambo hilo linafanikiwa, lakini sasa hii itaweza kuwa labda ni taarifa rasmi kuwa mashindano hayo hayatakuwepo kwa mwaka huu , sijui kwa miaka ijayo lakini kwa sasa wadhamini wamekosekana wa kuendesha mashindano hayo.<\/p>\n<p>Waandaaji wa urembo wa Miss Tanzania kampuni ya Limo\u00a0 Internatinali Agency wamesema kuwa hakutakuwa na fainali ya\u00a0 mashindano ya urembo kwa mwaka huu 2017.Kampuni hiyo imesema kuwa sababu kubwa ya kutokuwepo kwa fainali ya mashindano hayo ni kwa sababu hakujapatikana kwa wadhamini watakaodhamini shindano hilo na kutoa zawadi kwa washindi.<\/p>\n<p>Hata hivyo kampuni hiyo imesema Kuwa kulikuwa na ucheleweshwaji wa kupatikana kwa kibali cha kuendesha shindano hilo la Miss Tanzani amabcho huwa kinatoaka\u00a0BASATA ambapo kibali hicho kilitolewa mwezi Septemba na kuwafanya kushindwa kujiandaa kwa vitu vingi ikiwemo hiyo ya kushindwa kutafuta wadhamini hao.<\/p>\n<p>Ikumbukwe kwamba mapema mwaka huu Tanzania ilitakiwa kutoa mshiriki mmoja kwenda kushiriki Miss World lakini kwa sababu mashindano hayo yalikuwa hayajafanyika ilibidi kuteua mshiriki wa pili wa mwaka jana ili kuwakirisha Tanzania.<\/p>\n<p>Shindano la Miss Tanzania limekuwa likifanyika kila mwaka na kuibua warembo ambao wamekuwa ni mchango mkubwa katika tasnia ya urembo na uchumi wa ndani na nje pia akiwepo Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Nancy Sumary,, Faraja Nyarandu\u00a0 na wengine wengi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Kumekuwa na taarifa zisizoeleweka kuhusu shindano la miss tanzania mwaka huu kufa nyika au kutokufanyika kabisa, mara ya kwanza ilisemekana kuwa bado wanarafura wadhamini amabo watakuwa wanatoa ahadi za ukweli kwa washuindi wanaposhinda kwa sababu mwaka uliopita mshindi wa Miss Tanzalia aliangaika sana mpaka kupata zawadi zake na hata hivyo kuba baadhi ya zawadi hakuzipata [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":6030,"featured_media":7892,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[5834],"class_list":["post-7884","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-entertainment","tag-miss-tanzania-news"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v26.4 - https:\/\/yoast.com\/wordpress\/plugins\/seo\/ -->\n<title>Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena - Ghafla! Tanzania<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena - Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Kumekuwa na taarifa zisizoeleweka kuhusu shindano la miss tanzania mwaka huu kufa nyika au kutokufanyika kabisa, mara ya kwanza ilisemekana kuwa bado wanarafura wadhamini amabo watakuwa wanatoa ahadi za ukweli kwa washuindi wanaposhinda kwa sababu mwaka uliopita mshindi wa Miss Tanzalia aliangaika sana mpaka kupata zawadi zake na hata hivyo kuba baadhi ya zawadi hakuzipata [&hellip;]\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Ghafla! Tanzania\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2017-12-22T11:37:25+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"1600\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"1065\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"Expedicto Lilian\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"1 minute\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\/\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\"},\"author\":{\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\"},\"headline\":\"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena\",\"datePublished\":\"2017-12-22T11:37:25+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\"},\"wordCount\":280,\"commentCount\":0,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg\",\"keywords\":[\"miss Tanzania news\"],\"articleSection\":[\"Entertainment\"],\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#respond\"]}],\"copyrightYear\":\"2017\",\"copyrightHolder\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization\"}},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\",\"name\":\"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena - Ghafla! Tanzania\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg\",\"datePublished\":\"2017-12-22T11:37:25+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-US\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg\",\"width\":1600,\"height\":1065},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"description\":\"Get The Latest Tanzanian Entertainment News\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-US\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization\",\"name\":\"Ghafla! Tanzania\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"contentUrl\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png\",\"width\":187,\"height\":60,\"caption\":\"Ghafla! Tanzania\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/\"}},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0\",\"name\":\"Expedicto Lilian\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-US\",\"@id\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g\",\"caption\":\"Expedicto Lilian\"},\"description\":\"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.\",\"url\":\"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena - Ghafla! Tanzania","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena - Ghafla! Tanzania","og_description":"Kumekuwa na taarifa zisizoeleweka kuhusu shindano la miss tanzania mwaka huu kufa nyika au kutokufanyika kabisa, mara ya kwanza ilisemekana kuwa bado wanarafura wadhamini amabo watakuwa wanatoa ahadi za ukweli kwa washuindi wanaposhinda kwa sababu mwaka uliopita mshindi wa Miss Tanzalia aliangaika sana mpaka kupata zawadi zake na hata hivyo kuba baadhi ya zawadi hakuzipata [&hellip;]","og_url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/","og_site_name":"Ghafla! Tanzania","article_published_time":"2017-12-22T11:37:25+00:00","og_image":[{"width":1600,"height":1065,"url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"Expedicto Lilian","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"Expedicto Lilian","Est. reading time":"1 minute"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/"},"author":{"name":"Expedicto Lilian","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0"},"headline":"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena","datePublished":"2017-12-22T11:37:25+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/"},"wordCount":280,"commentCount":0,"publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg","keywords":["miss Tanzania news"],"articleSection":["Entertainment"],"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#respond"]}],"copyrightYear":"2017","copyrightHolder":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/#organization"}},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/","name":"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena - Ghafla! Tanzania","isPartOf":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg","datePublished":"2017-12-22T11:37:25+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-US","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#primaryimage","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2017\/12\/miss_tanzania.jpg","width":1600,"height":1065},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/mashindano-ya-miss-tanzania-kutofanyika-tena\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Mashindano Ya Miss Tanzania Kutofanyika Tena"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#website","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","name":"Ghafla! Tanzania","description":"Get The Latest Tanzanian Entertainment News","publisher":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-US"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#organization","name":"Ghafla! Tanzania","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","contentUrl":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-content\/uploads\/sites\/3\/2023\/04\/cropped-cropped-screenshot.png","width":187,"height":60,"caption":"Ghafla! Tanzania"},"image":{"@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/logo\/image\/"}},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/92087726efc87e0f83ae1133e09675e0","name":"Expedicto Lilian","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-US","@id":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/#\/schema\/person\/image\/","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/3a1a0e84f5ad5837ccb7265671b9d19f2c7c0b236d45fb90323ad76c017d98f8?s=96&d=wavatar&r=g","caption":"Expedicto Lilian"},"description":"#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.","url":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/author\/liliankisoti\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7884","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/6030"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=7884"}],"version-history":[{"count":2,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7884\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":7901,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/7884\/revisions\/7901"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media\/7892"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=7884"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=7884"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/www.ghafla.co.ke\/tz\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=7884"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}