Ujumbe wa Zari Watajwa Kumlenga Hamisa.

Mwanadada Zari The Bossy ametuma salamu kwa moja ya wadogo zake waliopo Tanzania huku akishindwa kuweka bayana kuwa mwanadada aliyemtumia ujumbe huo ni nani , ingawa kutokana na maswala yanayoendelea katika mitandao na yale yanayosemwa kuhusu Hamisa inaonekana ni ujumbe wa faraja na wa kumtia moyo Hamisa Mobeto kutokana na hayo yanayomkuta sasa.

Pamoja na kwamba Zari na Hamisa waliwahi kuingia katika mgogoro kutokana na ku-share mwanaume mmoja lakini mwanamama huyo ameona aweke tofauti zao pemBeni na kuandika maneno haya kwa Hamisa kama kumsapoti kuwa kuna mambo yanaweza kukutaka ukate tamaa lakini ukiyapuuza unaweza kusonga

never give someone he power to choose between you and someone else, if they cant decide then decide for them.walk it away and never look back.go where you celebrated and never explain  it to anyone…your journey is yours ,NOBODY has to understand it but YOU.Sending nothing but love you sis in TZ,Now wipe those tears and fix that”

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.