Uzuri Unaendana na Kufanya Kazi Kwa Bidii-Poshy Queen

Mrembo aliyejizolea umaarufu kwenye Mitandao ya kijamii kutokana na umbo lake matata Jackline Obeid maarufu kama Poshy Queen amefunguka na kutoa siri ya kuogopwa na wanaume.

Poshy Queen ameibuka na kudai kuwa siri pekee ya mwanamke  kuogopwa na wanaume ni kufanya kazi ili kuweza kusimama mwenyewe na hasa kuweza kujitegemea.

Katika mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Poshy Queen, amesema kuwa staa yeyote akiwa mzuri halafu akafanya kazi anazidi kung’ara na hata wanaume wanamugopa wanajua wazi kwamba, si mwanamke wa mchezomchezo.

Unapokuwa staa na ukaamua kufanya kazi basi itakuwa dawa moja kubwa sana ya kukulinda na wanaume, lazima watakuogopa; utaheshimika na kisha uzuri wako utaonekana mara dufu”.

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.