Video ya Kimahaba Kati ya Nandy na Billnass Yavuja.

Katika mtandao wa instagram kumechafuka baada ya video inayomuonyesha Nandy akiwa na Bilnass kuvuja huku bado akiwa natafutwa mchawi nani alivujisha picha hiyo.hata hivyo video hiyo imekuwa ni moja ya uthibitisho tosha kuwa wawili hao walikua au wapo katika mahusiano ya kimapenzi ingawa kila mmoja aliuwa akikanusha kuhusu  wao kuwa wapenzi.

Video hiyo ni moja ya mfululizo wa matukio ya tangu siku ya birthday ya msanii Billnass ambapo mwana dada nandy aliweka picha akiwa na billnass na kumtakia Happy Birthday huku picha hiyo ikiwa inaonyesha kuwa wawili hao wako katika mahaba mazito.

Sasa imekuwa sio siri tena kwamba inawezekana kuwa mpaka sasa wawili hao wapo katika mapenzi mazito ingawa mara kwa mara hasa billnass amekuwa akikataa kuhusishwa kimapenzi  na Nandy huku akidai kuwa tuhuma hizo zimekuwa zikiharibu uhusiano aliona sasa na mpenzi wake

https://www.instagram.com/p/BheiVuygUiL/?taken-by=soudybrown

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.