Wema Aongea Kuhusu Milioni 2 za Idris.
Mwanadada wema sepetu amefunguka na kujibu tetesi za kuwa idris alitaka kumlipia milioni 2 za faini yake siku yake ya hukumu ya kesi ya madawa ya kulevy ailiyosha wiki iliyopita mahakama ya kisutu.
Akiongea na waandishi wa habari baada ya kuulizwa kuhusu habari hizo na jinsi gani alijisikia baada ya kusikia kuwa swala hilo lilisababisha ugomvi kati ya Idris na mpenzi wake wema alianza kwa kucheka na kisha kusema kuwa ni kawaida ya idris kuongea na ndio maana hakutaka kumfatilia sana.
Wema ansema kuwa hayo ni maneno ya utani tu kutoka kwa idris ambae aliwahi kuwa mpenzi wake hapo awali lakini sio ukweli wowote.
maneno tu ya idris si mnamjua alivyo,hayo ni maneno tu ya idris bhana (Alisema wema huku akicheka)