Abdul Kiba atoa Sababu ya Kuendelea Kutumia Jina la SINGLE BOY

Msanii kutoka katika lebo ya KINGS records “ABDUL KIBA”,  amefungua na kusema kuwa haoni shida kama mashabiki zake bado wanamwita jina la single boy  kwa sababu ni jina lililozoeleka kwa muda mrefu  kwaio ni ngumu sana kuliacha kama wanavyofikiria.

Abdul anasema kuwa jina hilo ameanza kuitwa siku nyingi kabla hajaoa hivyo hawezi kulibadilisha kwa haraka na ukizingatia kuwa wengi wanamwita kwa sababu ndio jina wanalopendezwa nalo.

Maneno hayo aliongea Abdul alipokuwa akiongea na waandishi wa habari alipokuwa katika utoaji wa TUZO za SZIFF wikiendi hii .

Single nimeitwa kabla hata sijaoa, lakini pia hilo jina halina maana kwamba linaweza kuharibu kitu chochote katika maisha kwa sababu nimeoa. Lakini pia katika kuitwa siwezi kumzuai mtu kuniita wa sababu kila mtu anakkuwa anafurahishwa na vile ambavyo  yeye anafurahishwa.

 

Abdul Kiba Akanusha Kuachana na Mkewe

Msanii kutoka katika kundi la Kings music amefunguka na kukanusha tetezi zinazosambaa juu yake kuwa ameachana na mke wake na kwamba ameamua kumrudisha nyumbani , na kwamba maisha ya ndoa yamemshinda.

Abdul Kiba amefunguka na kusema kuwa ni kweli kwa sasa amekuwa haishi na mke wake kwa sababu za kiafya ,  mke wake amekuwa akiumwa na kwamba anahitaji uangalizi wa karibu na ndio maana aliamua kumpeleka katika familia yake.

Abdul Kiba anasema kuwa yeye na mke wake hawajawahi kuachana, kugombana wala kupishana kauli kama vile watu wanavyosema katika mitandao  ni  umbea.

mimi na mke wangu hatujawahi kugombana wala kupishana,  kwa kuwa sisi ni watu wazima na nimekuwa nikimpenda sana mke wangu siwezi kumuacha.

Habari z abdul kiba kuachana na mke wake zimekuwa za muda mrefu kidogo huku sababu kubwa ikisemwa kuwa ni mahusiano ya nyuma ya mwanamuziki huyo.

Mwanadada Azungumzia Kuvunja Ndoa ya Abdu Kiba.

Mwanadada mchekesaji anaejulikana kwa jina la Martha anakanusha tetesi za kuwa amekuwa chanzo cha kuvunjikwa kwa ndoa  kati ya mwanamuziki Abdul Kiba na mke wake ndo ambayo ilifungwa miezi ya nyuma mwaka huu.

martha anasema kuwa pamoja na kwamba aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii huyo hapo awali lakini hakuna ukweli wowote kuwa mpaka sasa wako pamoja na kwamba wamekuwa wakiwsiliana na mwanaume huyo lakini sio kwa nia ya kimapenzi.

Martha ansema kuwa hajawaikumtafuta abdul kiba hata siku moja zaidi ya mwanaume huyo kuwa  anamtafuta yeye kila mara.

Nilikuwa natoka nae lakini sio sasa, mara ningi amekuwa akinitafuta yeye lakini tangu nimetoka kwake nimekuwa na mahusiano yangu mengine tu,ndio nilikuwa nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu tu lakini kwa sasa hapana siko nae tena na hata kuvunjika kwa ndoa yake sijui,tangu ameoa sijamfatlia ni yeye ndio amekuwa akinitafuta mara nyingi.-Aliongea martha alipokuwa kwenye mahojiano FNL

 

Ndoa ya Abduli Kiba Yadaiwa Kusambaratika.

Mwaka huu umekuwa ni moja ya mwaka mwema na wenye baraka kwa familia ya msanii Alikiba baada ya watoto hao wote watatu kuamua kufunga ndoa kwa mfgululizo  mwaka huu huku akianza alikba na kufuatiwa na Abduli Kiba na kisha kumaliziwa na dada yao Zabibu Kiba.

Lakini kama ilivyo kawaida kwa wasanii na watu maarufu wanakuwa wakiandamwana maneno mengi katika mitandao ya kijamii ambapo hata kabla ya harusi hizo kufungwa kumekuwa maneno mengi kuhusu wasanii hawa.

Hivi karibuni yamezuka maneno tena kuhusu moja ya ndoa hizi , hii ni ndoa ya Abduli Kiba ambae ni mdogo wake na alikiba huku ikisemekana kuwa ndo ahiyo kwa sasa imesambaratika. hii yote ni kutoana na ukweli kuwa watu wanalalamika kwanini abdul hayupo kama alikiba kwa sababu alikba amekuwa akiambatana na mkewe sehemu nyingi, lakini abdul amekuwa hafanyi hivyo.

Kila mtu amekuwa akiongea lake kuhusu msanii huyo na ndoa yake, huku wengne wakisema kuwa abdul kiba hampendi mke wake, na hata kusema kuwa inawezekana kuwa alipata shinikizo la kuoa kutoka kwa wazazi wake na wala sio chaguo lake.

Baada ya hapo GPL waliamua kumtafuta abdul kiba ili kuthibitisha tetesi hizo na ndipo Abdul kiba aliposema kuwa hawezi kuongea lakini akatoa idhini  ya kuongea na meneja wake aliyejulikana kwa jina la rehema.

Akijibu tuhuma hizo , Rehema alisema “unajua abdul ni tofauti na ali, mara nyingi anaenda kuwa huru hivyo watu wakimuona yupo anatembea mwenyewe wanajua kuwa ameachana na mke wake.na wala mke wake hajarudi nyumbani.’

Baada ya kusema hivyo , Rehema alisema kwa kuthibitisha ukweli wa mambo basi akampa mke wa Abdul Kiba simu ili aweze kuongea na mwandishi na ndipo alipompa na kuongea na mkewe Abdul Kiba na kusema kuwa tetesi hizo hazina ukweli wowote.

Wedding bells! Alikiba set to marry his Kenyan sweetheart

Alikiba is set to join AY in the league of married men. The veteran Bongo rapper married his Rwandan sweetheart Remmy in a low key wedding in Dar es Salaam over the past weekend.

Also read: AY finally weds his lovely bride in colorful wedding 

Alikiba is also set to tie the knot sometimes in March. The Tanzanian crooner has for a long time kept his relationship under wraps.

Kiba is secretly dating a Kenyan woman who hails from Mombasa. A source confirmed to Ijumaa Wikienda that Alikiba will indeed marry the Kenyan woman.

“Unajua kwa Kiba kumuoa mrembo huyo wa Mombasa itazima kabisa minon’gono mbalimbali ya kuwa nani ataolewa naye,” said the source.

Abdul Kiba’s confirmation

Ali Kiba’s younger brother Abdul Kiba told Ijumaa Wikienda that the ‘Seduce Me’ hit maker will tie the knot in March 2018.

Alikiba with his brother Abdul Kiba

Below is the conversation Abdul Kiba had with Ijumaa Wikienda:

Ijumaa Wikienda: Vipi Abdul, umekuwa kimya sana, ni kwa sababu ya harusi?

Abdul: Harusi ya Ali au?

Ijumaa Wikienda: Si na wewe pia maana ninasikia mnaoa siku moja?

Abdul: Anayeoa ni Ali, mimi sina mpango wa kuoa mwaka huu kabisa.

Ijumaa Wikienda: Ila wanasema mnafanya pamoja na mchumba wako ameshafanyiwa kibao kata, je, ni kweli?

Abdul: Si unajua mambo ya wanawake? Lakini ndoa mimi bado, Ali ndiyo anatarajia kuvuta jiko mwezi ujao (Machi).

 

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.