Afande Sele Amshauri Profesa Jay Kuhama Chama.

Mwanamuziki wa siku nyingi kutoa Morogoro Afande Aele amefunguka na kumshauri msanii mwenzake profesa jaya mabae kwa sasa pia ni mbunge wa Mikumi baada ya mwanamuziki huyo kujiingiza katika siasa na kupata nafasi ya ubunge katika jimbo hilo.

Afande Sele ambae nae pia aliwahi kugombea nafasi hiyo kupitia chama cha ACT lakini baadae alikuja kurudi CCM amefunguk nakumshauri mwenzake pia arudi CCM huku  akiamini kuwa huko ndipo anaweza kushinda kwa mara ya pili.

Afande Sele anawiwa kusema hivyo huku akimtolea mfano mbunge Sugu ambae pia ni msanii wa hip hop nchini kuwa amekuwa akitukana na kuongea maneno ya kejeli kuhusu rais wa nchi kitu ambacho kinashusha heshima ya vyama vya upinzani na ndio maana anaona bora mwenzake huyo kutoka upinzani.

kwa nafasi nyingine tena, Afande Sele amelalamika swala la wasanii kutotumiwa tena katika maswala ya kampeni.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.