Alikiba Ameimba Wimbo wa Kunitukuza.:-Vyone Chakachaka.

Mwanamama ambae ni mwanamuziki mkongwe afrika na Duniani kwa ujumla ambae amekuwa akifanya maswala mengi kwa ajili ya jamii Vyone Chakachaka amefunguka na kuelezea furaha yake kufanya kazi na msnaii alikiba .

Vyonne ambae yuko tanzania kwa ajili ya mkutano wa African Reconnect anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano huo na kutoa wimbo wake akiwa na alikiba kwa mara ya kwanza tangu walioonekana kuwa wote studio,

Mama huyo amesema kuwa ni furaha yake kubwa kufanya kazi na Alikiba kwa sababu ni msani anaejiachisana anapokuwa akifanya kazi lakini pia ilikuwa raha kufanya nae kazi kutokana na kwamba Alikiba alikuwa akitumia sana kiswahili katika kazi zao swala lililomfanya hata yeye kutaka kujifunza kiswahili.

Mimi na alikiba tumefanya kazi pamoja na tumeandika wimbo wenye vibes za mkomboti  na tumeimba kwa kiswahili, ali ana pedna sana kufanya kazi kwa kiswahili  na alinifundisha kiswahili kidogo.

wimbo wenyewe una lengo la kuwatukuza wanawake , wakina mama, na ali anaonekana kijana mzuri sana  na nina mshukuru sana kwa kuimba wimbo kwa kunitukuza mimi.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.