Amber lulu Akana Kurudiana na Aslay.

Msanii wa bongo fleva Amber Lulu amekaa tetesi za kurudiana na msanii mwenzake Aslay ikiwa ni siku chache tu tangu mwanadada huyo kutangaza habari kuwa yuko single baada ya kumwagana na aliyewahi kuwa mpenzi wake toka nje ya Tanzania Prezzo.

Amber Lulu ambae aliwahi kuwa na mahusiano na aslay hapo awali amekana na kusema kuwa hana mahusianao na msanii huyo ilhali hata kwa upande wa Aslay kwa sasa  amekuwa akionekana kutangatanga na mapenzi baada ya kuachana na mama watoto wake Tessy Chocolate.

Wawili hao waliwahi kuonekana kuwa karibu hivi karibuni  katika picha za pamoja lakini ambaer alipoulizwa alisema ukarubu wao ni wa kikazi tu na wala sio vingine, hata hivyo malipokuta na moja ya waaandishi wa habari na kuulizwa juu ya hilo amber alijibu kwa kifupi “mimi sina mahusinao yoyote na Aslay”

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.