Amber Lulu Atoa Povu Baada ya Kuambiwa Anasura Mbaya.

Mwanadada Amber Lulu ametoa ovu kali kwa baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wakimsema kuwa ana sura mbaya na kwamba yeye sio mzuri kama wasichana wengine.

Amber Lulu ameonekana kukerwa na maneno hayo na kuamua kuwajibu kwa kiburi waliokuwa wakimsema hivyo huku akisema kuwa hata kama amekuwa na sura mbaya lakini akifanyiwa urembo basi urembo unakaa.

katika ukurasa wake wa instagram, Amber Lulu aliandika “Raha kujivunia ulichonacho, sura langu mbaya lakini make-up inakaa nalipenda sura langu, unaniita sura mbaya wakati me ndo MAMAAKOO.Rafiki mzuri ni yule anaekufata private na kukwambia makosa yako pasipo kutaka sifa au kutaka kusema pembeni , kusema ukweli hana nia ya kukushauri u kukuelewesha lakini haina shida life goes on na tnaishi nao… “

Amber lulu amekuwa katika migogoro na wasanii wenzake  mmoja wapo akiwa ni  Nai  na kila siku wamekuwa wakitoleana madongo katika kutandao ya kijamii.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.