Msanii Kutoka Marekani Ampongeza Diamond

Msanii anaejulikana kama Babbi Music kutoka marekani maefunguka na kumpongeza sana Diamond Platinumz na timu  yake ya wasafi kwa kitendo cha kufungua radio na tv kwa ajili ya kusapoti musiki wa Tanzania.

Msanii huyo anasemakuwa hajawahi kusikia hata mara moja kuwa kuna msanii wa afrika ameweza kufungu aradio na tv lakini hii imetokea sasa baada ya Diamond kuangaka kwa ajili ya kufanikisha hilo.

Akiongea kwa kumpongeza lakini pia anawakumbusha wananchi kuwa radio na tv hizo zipo kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wote na sio wasanii wa wasafi  tu kwaio wananchi wajitahidi kujituma  ili kuitumi radio na tv hiyo.

Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza msanii Diamond Platinumz na timu yake nzima ya Wasafi kwa kitendo chao cha kufungua radio na tv.Ni jambo kubwa sana na ni jambo la kupewa sapoti.Diamond ni msanii wa kwanza kufanya hustle  mwanzo mwisho na kufanikiwa kufungua radio natv.

Ni kitu kikubwa ambacho siajwahi kuona msanii yoyote afrika amewahi kukifanya,nina imani kuwa Wasafi tv na Radio ipo kwa ajili ya wananchi na sio wasafi tu.Ipo kwa ajili ya kuwasapoti wananchi na muziki wa Afrika.Much love to you brother.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.