Msanii Bilali Mashauzi Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Muziki wa taarab nchini Bilali Mashauzi kutoka katika kundi la Mashauzi Classic amefariki dunia usiku wa jana na anatarajiwa kuzikwa leo Upanga.

Familia yao imeishi kwa miaka mingi, Upanga mtaa wa Wibu  hadi  na baadaye waliposhindwana na mwenye nyumba miezi ya karibuni na wakahamia Mwananyamala ambapo yeye ndiye alikuwa kichwa cha familia.

Kutoka na kazi yake ya usanii Bilal alikuwa marafiki na mastaa kadhaa wa Bongo movie na hata Bongo fleva.

Baadhi ya mastaa waliomposti na kumlilia Kupitia mitandao ya kijamii ni pamoja na Kajala ambaye alikuwa Rafiki yake mkubwa, Wema Sepetu, Aunty ezekiel, Vj Penny na wengineo.

Mungu ametoa Mungu ametwaa jina la Bwana Lihimidiwe.Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi Amina.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.