Video Yangu na Nandy Bado Inanikosesha Amani.

Msanii Bilnas amefunguka na kusema kuwa kwa muda sasa umepita tangu ilipovuja video akiwa na msanii mwenzie  (nandy ) ambae aliwahi kuwa mpenzi wake hapo zamani na kusema kwamba mpka sasa video hiyo imekuwa ikimkosesha amani sana kwa sababu anakuwa ankos kujiamini baadhi ya sehemu.

Billnas ansema kuwa kipindi video hii inavuja alikuwa amekwenda dubai katika holiday ya sikukuu yake ya kuzaliwa lakini kitu cha kusikitisha ni kwamba kuna baadhi ya vitu alikuwa amepanga kuvifanya pindi atakaporudi bahati mbaya ikavuja hiyo video hivyo kumfanya ashindwe hata kuendelea na mipango yake aliokuwa amepanga hapo awali.

kwakweli ile video bado inanitesa na kunikosesha amani sana kwa sababu kuna watu mpaka sasa huwa naogopa na kuona aibu kuwa0face kabisa  tena kila ninapofikiria kuwa waliiona ile video.hata hivyo ninachoshukuru mungu ni kwamba watu wangu wengi walinielewa hata wale wa karibu na mimi lakini najua hili nalo litapita.

Hata hivyo video hiyo amabyo ilikuwa ikiwaonyesha yeye na nandy wakiwa faragha liwafanya kukwamishwa kwa mambo mengi huku wakiingia ktika historia ya wasanii waliowahi kukamatwa na kuwekwa ndani kwa matumizi mabaya ya mtandao.

Wawili hao kwa sasa wametangaza kuwa kaka na dada huku kila mmoja akisema kuwa anampezni wake mwingie kabisa na kwamba video ile ilikwa ya zamani.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.