Mwanadada kutoka bongo movis Norah amefunguka na kusema kuwa kamaitatokea akipata mtu wa kumuoa tena kwa sasa wala hatosita kuolewa tena na anatamani sana kuolewa.
Norah anasema kuwa pamoja na changamoto nyingi alizowahi kukutana nazo katka ndoa zaidi ya mara mbili alizowahi kuolewa na kukaa na mwanaume lakini haimfanyi yeye kukataa tamaa na kukataa kuolewa tena .
naitamani sana ndoa na kama atatokea mtu mbae mimi nitaona kabisa na kujiridhisha kuwa atakuwa mtu sahihi wala sina shida,
Norah aliwahi kubahatika kuolewa mara mbili na wanaume tofauti lakini alibahatika kupata mtoto mmoja, hata hivyo kwa muda mrefu sasa norah hajaonekana kabisa katika asnia hii ya sanaa.