Muda Mwingine Ndugu Zetu Wanahitaji Upendo Tu :- Cyril Kamikaze

Msani Cyril Kamikaze amefunguka na kuwataka watu hasa wasanii kuwa na upendo na watu wanaowaunguka kwa sababu muda mwingine mtu haitaji msaada wowote zaidi ya upendo kutoka kwetu kabla ya kifo chao.

Maneno haya yamekuwa yakisemwa karibia na kila mtu na hasa kwa wasanii ambao kioa mtu amekuwa akilalamika kuwa mnafiki kwa sababu wamekuwa wakijari  na hata kuwaposti wasanii wenzao pale wanapoata taarifa kuwa wamekufa lakini kwa kipindi wanachokuwa wakiumwa hakuna anaetaka kujali kuhusu uginjwa .

Kamikaze anasema “Tuwe karibu na jamii, ndugu , marafiki na watu wetu wakiwa hai,, muda mwingine watu hawa wanachohitaji ni upendo tu.we are all we Got.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.