Kim Nana , Diamond sasa ni maadui wakubwa.

MMwanadada  ambae alisifiwa saa na mama mkwe baaada ya mwanadada huyo kuonekana katika mahaba mazito na mtoto wa mama mzaa chema Mama Dangote  , inasemekana kuwa mwanadada huyo kwa sasa wamekuwa maadui wakbwa na msanii huyo mabae alitangaziwa mpaka ndoa.

Kimnana ambae liibuka ghafla katika kujiongeza katika list ya wanawake waliowahi kuwa wapeniz wa msanii Diamond Platinumz alionekana kuwa mwenye mahaba mazito sana kwa msanii huyo hata kufikia  htua ya kutangza kuwa yuko tayari kubadili dini kwa sababu ya ndoa.

Hata hivyo inasemwa kuwa wawili hao kwa sasa ni maadui wakubwa hata mwanadada huyo kufikia hatua ya kum-block msanii huyo kisa tu baada ya msanii huyo kuamisha majeshi ya mapenzi kwa mwanadada mwingine kutoka Kenya anejulikana kama Tanasha.

Kimnana alinangwa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu kuanza uhusiano na msnii simba lakini hakutaka kusikia na hata waliogombana na kucahana watu wengi walisema kuwa walijua kuwa penzi hlo haliwezi kufika mbali.

Yasemekna Penzi la Diamond na Kimnana Limefika Ukingoni.

Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kimnana linasemekana kufika mwisho baada ya mwanadada huyo kuonekana akitupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz.

Mwanadada huyo ambae nae alikuja kwa kasi bila kuangalia wanawake waliopita kwa diamond walikuwa katika hali gani alijikuta akijihusisha kimapenzi na diamond tena bila kuogopa penzi lao lilikuwa wazi kwa muda mfupi tu.

Kurasa za Udaku zinasema kuwa mwanadada hyo alitupiwa kibeg chae nje na kuamua kuita usafiri aina ya bajaji na kuamua kurudi nyumbani kwake kwa sababu alikuwa tayari alishahamia nyumbani hapo madale.

Kimanana hatokuwa mwanake wa kwanza kuwa na uhusiano na diamond na kufanyiwa udhalilishaji huu kama inavyodaiwa.

Kimnana ambae anajihusisha na mambo ya video vixen  ameweza kuvuma kwa muda mcahcahe aliokuwa na Diamond na gafla imekuwa kimya.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.