Nyashinski Akanusha Ujumbe Mbaya Kuhusu Diamond

Msanii kutoka Kenya Nyashinski amefunguka na kukanusha madai zidi yake yaliyokuwa yaisema kuwa aliandika ujumbe mbaya katika Twitter unaosema kuwa  Diamond sio  hajui kufanya hit song , ujumbe ambao nyashinski mwenyewe anasema kuwa uliandikwa na moja ya page za wanaojiita mashabiki zake na hata ukiangalia hiyo haikuwa akaunti yake anayoitumia.

Siku kadhaa nyuma zilizopita katika ukurasa wake wa instagram Diamond aliwataka mashabiki zake kumpigia kura Nyashinski ambae alikuwa katika kategoria ya kuwania tuzo ya msanii wa Afrika Mashariki bora katika tuzo za MTV EMA .

Akiongea na Lil Ommy , msanii huyo anasema kuwa ujumbe huu haukuandikwa kupitai akaunti yake ya twitter bali ilikuwa akunt nyingine tu,”wacha niweke hii very, very clear  , twitter akunt yabu ni realnyashinski  sio official au thereal , lakini ukiangalia hiyo twitt imetoka katika akaunt nyingine kabisa.

unajua unaweza kuwa na watu wengi twitter wanaojiita nyashinski kwaio nimeona kuwa bora niweke hii sawa,kwaio twitt ilikuwa inasema kuwa diamond hajui ku-make hit songs , lakini ukweli wote tunaujua kuwa Diamond  anajua ku-make hits.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.