Alichosema Gigy Money Kuhusu Style Mpya ya Nywele ya Diamond.

Mwanadada Gigy Money ambae kila siku amekuwa akifanya mambo  yenye drama  huku mwenyewe akisema kuwa hayo ndio maisha yake halisi, amefunguka na kuelezea kile anachgoamini kuhusu style ya nywele ya Diamond mpya ambayo ameionesha jana kwa mara ya kwanza.

Diamond ambae ameamua kubadlisha style ya nywele na kusema kuwa ameamua kufanya hivyo kwa ajili ya kuwa na muonekanao mpya amonekana kuwa amesuka nywele za rasta na kuamua kuzibana kabisa.

Hata hivyo kwa Gigy Money anaamini kuwa swala la diamond kuamua kusuka ni kwa ajili ya kumsapoti hamisa ambae kwa sasa ni balozi wa kampuni ya nywele ya Prima Afro hivyo ameamua kusuka ikiwa ni kwa ajili ya kumsapoti kufanya matangaza kama balozi.

leo ni monday right na Diamond ni my monday crush right,sema chibu unampenda sana mama dee na ninapenda sana unavyomsapoti kwakweli, unajua mpaka kusuka rasta na kubana sio poa kabisa.I love you nasibu super star mwenzangu coz unafanya kitu roho inapenda.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.