Dj-Ommy, Dj Maarufu Nchini Afunga Ndoa (+Picha) Posted on July 16, 2018 by Expedicto Lilian DJ maarufu nchini Dj-ommy ambae anaejulikana wa kzai yake nzuri Danzania na duniani kwa uumla wikiendi hii ameuaga ukapeka baada ya kufunga pingu za maisha na aliyekuwa mpezni wake wa muda mrefu anaeulikana kwa ina la Agness.