Uwoya Aelezea Jinsi Mwezi Mtukufu Unavyodumisha Penzi Lake na Janjaro

Mwanadada Irene Uwoya na mume wake Dogo Janja amabao kila siku hawaishiwi na drma ktaika mitandao wanakuja tena kivingine na kuelezea jinsi mwezi mtukufu wa Ramadhani unavyodumisha mahusiano katika ndoa yao.

Akiongea na waandishi wa habari, Irene anasema kuwa akiwa kama mke halali wa Abdul (janjaro) anahaki zote za kukaa na kutulia kipindi hiki cha ramadhan na kumpikia mume wake  kwa sababu hicho ni kitu alichozoea hata katika ndoa yake iliyopita.

kuhusu kufunga kwa upande wangu nilishazoea kwa sababu hata siku za nyuma za ramadhani nilikuwa nikifanya hivyo hivyo nilipouwa na ndiku na kwa sababu sasa hiv mimi ni mke halali kabisa wa Abdul basi nina haki ya kutulia na kumpikia mume wangu futari.

Ndoa hii imekuwa ikisema na kuongelewa kila siku katika mitandao ya kijamii huku wengine wakikataa kumaini kuwa wawili hao wanweza kweli kuoana.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.