Msanii wa vichekesho nchini, Ebitoke amefunguka na kusema kuwa alikuwa amemuahidi Ben Pol kuhusu kumpa bikira yake na ameshaiteeleza ahadi hiyo siku nyingi hivyo watu wasijiulize sana.
Ebitoke anasema kuwa pamoja na kwamba kwa saa hayupo katika mahusiano na Ben Pol lakini ndio alikuwa mwanaume wake wa kwanza kumpa usichana wake kwa sababu ndio ahadi aliyokuwa ameitoa tangia hapo mwanzo.
kama ulimuaidi mtu zawadi lazima umpe,nilishampa Ben Pol zawadi yake.
Ebitoke anasema kuwa pamoja na kwamba hayuko katika mapenzi na Ben Pol lakini bado wanaendelea kusaidiana na kwamba wamekuwa wakifanya kazi pamoja mbali na mapenzi.