Fahamu Ugonjwa Uliomuua Mke wa Ephrahim Kibonde

Wakati ratiba ya mazishi ya mke wa Ephrahim Kibonde yalitangazwa, imegundulika ugonjwa uliomuua marehemu siku ya jumanen kuamkia jumatano  wiki hii.Marehemu Sarah Kibonde alifariki wiki hii alipokutwa na umauti alipokuwa akipatiwa matibabu akiwa hospitali ya Hindu Mandal jijini.

Watu wa karibu wa familia ya kibonde wamethibitisha kuwa sar kibonde alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani na ilikuwa ikimsumbua mpaka alipokutwa na umauti alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini hapo.

Mpaka Sara anafariki alikuwa amejariwa kupata watoto watatu na mme wake Ephrahim Kibonde ambae ni mtangazji wa kipindi cha Jahazi katika Clouds Fm

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.