Fahyma Asema Haoni Ajabu Kuvaa Nguo Anazovaa.

Mwanadada fahyma  ambae ni mpenzi wa msanii kutoka katika kundi kubwa la muziki nchi wcb, amefunguka na kusema kuwa maekuwa akishangaa anapoona watu wanamshangaa kwa nguo anazovaa na kusema kuwa amekuwa akivaa nguo za uchi wakati hivyo ndivyo alivyo.

Fahyama anasema kuwa watu wanaokaa na kumzungumzia wanakuwa hawamjui vile alivyo , kwa sabau watu wanaomjua alvyo wala hawashangai kuoa anavaa vile anavyovaa.

Mwanadada huyo ambae ana mtoto mmoja kwa sasa , amekuwa mrembo na muonekano maridadi kila wakati huku mpenzi wake Rayvanny akisema kuwa uvaaji wa mke wake huyo haumpishida yoyote kwa sababu amekuwa akimuamini sana.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.