Gadner Aweka Picha Akiwa na Jide Miaka Kadhaa Iliyopita

Mtangazaji wa Clouds Media ,gadner ameweka picha katika ukurasa wake wa instagram akiwa na mwanadada jay dee ambae alikuwa mke wake miaka kadhaa nyuma na kisha kupeana talaka.

Gadner amefanya hivyo kama kutimiza zoezi linaloendelea wa sasa katika mitandao ya kijamii linalohusiana na kuonyesha picha za zamani , ambapo kwa upande wa mtangazji huyo aliona sio mbaya kuweka picha hiyo na mkewe wa zamani.

Hata hivyo picha hiyo ilishangaza watu kidogo kwa sababau wawili hao zilikuwa haziivi ivyo kuwekwa kwa picha hiyo imeleta taswira kuwa wawili hao wanaweza kuwa wamemaliza tofauti zao.

 

 

 

Gadner G Habash Arudi Clouds Fm.

Mtangazaji nguli wa siku nyingi Gadner g Habash amerudi rasmi katika radio aliwahi kuifanyaia kazi hapo mara ya kwanza na kuondoka kwend radio nyingine .Gadner ambae hapo awali aliama kutoka Clouds Radio na kwenda EFM amerudi tena Clouds radio siku za hivi karibuni.

Katika ukurasa wake wa Instagram, mwanadada Diva the Bawse ambe pia ni mtangazaji wa Clouds Radio aliandika katika ukurasa wake akiwa ameweka picha ya Gadner akiwa na Shaffi Dauda huku akiwa anasaini  mkataba.

So i wanted to post him toka jana..welcom back captain g habash ,,I am the happiest girl inthe earth..you made me… s/o to my big boss  yaan captaiinn g habaash ..umeonaa bhanaa

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.