Tazama hii gari ya kifahari Diamond Platnumz alinunua pale kwake South Africa

Diamond Platnumz kama watu wengine wakati huu amo pale Afrika Kusini kusherehekea msimu huu wa pasaka na familia yake.

Kama mnavyo fahamu, watoto wake pamoja na mama yao Zari Hassan wanaishi humo Nillan akiwemo raia mkuu wa nchi hiyo.

Anaishi kwenye nyumba moja gomba, kali kama state house hapa Tanzania na sasa amenunua hata gari ya Kifahari ambayo atakuwa anatumia wakati amezuru nchi hiyo.

Gari hii ni mojawapo ya Hummer H2 ambayo alieka kwenye mtandao wa instagram jana usiku:

 

Jus decided to get this for my south africa’s up and downs trip…..? #SideChick

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.