Kwanza Mtoto Wangu Sio wa Mo Jay:-Gigy Money

Mwana dada Gigy Money ameendelea kufunguka mazito kuhusu mwanaume wake na kusema kuwa hata mtoto aliejifungua hivi karibuni wala sio wa kwake kwa sababu yeye ndio anajua baba wa mtoto kwa sababu yeye ndio mama wa mtoto na sio vinginevyo.Hata hivyo gigy money anasema kuwa sababu kubwa ya kugombana na mo jay ni kutokana na kuwa baba huyo alikuwa hataki kukaa mbali na mtoto wakati yeye alikuwa anaogopa kumbemenda mtoto.

ngoja nikwambie kitu , kipindi mimi najifungua siis wote ni vijana kwaio tunatamaniana, ndugu zangu wakamuomba  kae mbali na mimi lakini yeye kawa hataki, ndugu zake wanamwambia lakini yeye hata,kuna muda inaleta dawa na mimi ni mtanzania halisa kabisa kuna dawa za kiasili ambazo sio za hospitali  na inabidi nisimshike mimi mama mtu au baba mtu lakini anakwambai eti mimi ndo babake .by the way mtoto sio wa mo jay, mimi ndio mama wa mtoto kwaio namjua baba wa mtoto.

Kinachomuumiza Gigy Money ni kwamba mwanaume huyo ( Mo jay) amekuwa akirudi nyumbani na kushindwa kutimiza mahitaji ya nyumbani kama chakula ukizingatia kuwa yeye ananyonyesha wakati ameshinda kazini na amekula hukuhuko.

hawezi kuwa baba wa mtoto anarudi nyumbani namuuliza leo tunakula nini ananijibu na abuku, si bora mtu akwambia kuwa hana ela tu, kuliko kusema ana buku, sema huna ela nielewe kuwa mpeni wangu hana ela, unazurura siku nzima , unakaa kazini unakula alafu unarudi nyumbani una buku , unakuwa selfish unajijali mwenyewe .

Gigy money anasema kuwa anaumia sana pale anapoona kuwa aliamua kukaa na mo jay lakini amekuwa kama amempoteza muda kwa sababu hajafanya mambo mengi kwa kuheshimu mahusiano yao.

unarudi nyumbani, umekaa na mimi miaka mitatu na umenipoteza mudasijajibrand mimi.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.