Hafsa Kazinja Aelezea Mapito Yake, Sasa Hivi Aokoka

Mwanadada mwimbaji wa siku nyingi Hafsa Kazinja aliyewahi kutamba sana na kibao cha Pressure alichowahi kuimba akiwa na Banana Zorro amefunguka na kuelezea mapito aliyowahi kuyapitia kwa miaka 11 iliyopita ambapo anasema kuwa alikuwa katika wakati mgumu sana.

mwanadada huyo ambae alikaa kimya katika muziki kwa miaka mingi kwa sasa anasema kuwa pamoja na ukaa kimya lakini kuna kilichomfanya kukaa kimya mabacho ni  ugonjwa uliomsumbua kwa muda mrefu.

Hafsa anasema uwa uginjwa huo ulikuwa ukimtesa na kufikia hatua ya kunywa damu, na hata kuugua na kuteswa sana na majini hivyo hii ilimpelekea kuokoa na kumpokea yesu na kuachana na mambo ya kidunia.

Hafsa anasema kuwa yesu kwake ndio mponyaji, kwa sababu aliumwa sana na hata kufikia hatua ya kuuza nyumba, magari na kila alichokuwa nacho .

Hafsa anakiri kuteswa na majini hayo na kuamua kukoka na kuondoka katika uislamu.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.