Hasheem Thabeet Aelezea Uhusiano Wake na Wakazi

Mcheza kikapu maarufu nchini anaefanya vizuri nje ya nchini na kufaniiwa kusajiriwa mpaka NBA amefungua na kuelezea mahusiano yae makubwa aliyonayo na msanii wa hip-hop Wakazi , ambae kwa muda mrefu nyuma walisahwahi kuonekana wakiwa wote nje ya nchi wakiwa wana -hang out.

Nina m-views wakazi tangu kipindi nipo colleage, nimekuwa chicago tangu kipindi hicho na nilipofika tulikutana mimi niko colleage , akawa ananitambulisha kwa baaadhi ya watu na kufikia hatu ya uwa anareebisha mambo yote madogo madogo ambayo nilikuwa yanahitaji,sometimes kama nataka ku-hang out basi tunatafutana tu-hang out, we kick it ana -wake -up nyumbani kwangu.

 

Hasheem ambae kwa sasa yuko nchini Tanzania, anasema kuwa kwa sasa yuko nchini japana lakini swala la unaguzi wa rangi halipo kama ilivyokuwa zamani na kama ilivyokuwa imezoeleka hapo awali.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.