Ice Boy Adai Kukonda Baada ya Kuzalisha mbegu Katika Kampuni ya Calisah

Msanii wa muziki dhini ice boy amefunguka na kusema kuwa kwa muda sasa amekuwa akifanya kazi katika kampuni ya uzalishaji wa mbegu za uzazi kwa wanawake katika kampuni ya calisah  na ameacha kufanya hivyo kwa sabab hali yake kiafya haikuwa nzuri.

kama inakumbukwa hapo awali calisah aliwahi kutangaza na kusema kuwa atafunguka kampuni ya kuzalsha mbegu kwa ajili ya kuwasaidia baaadhi ya wanawake wanaotaka kuzaa bila kuwa na mwanaume na kwamba wanaotaka watoto wazuri.

calisah aliwahi kusema kuwa amekuwa akisumbuliwa sana na wanawake na kutaka kuwapa mimba na ndio maana ameamua kufungua kampuni.

‘nilikimbia kwa sababu nilikonda sana , nilizalisha wanawake zaidi ya 20–Anasema Ice Boy

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.