Sex Tour 2018 ya Idris Yaanzia UDSM

Ile tour aliyowahi kuitangaza moja ya wachekeshaji maarufu bongo Idris Sultan tayari imeshaanza kutembea katika vyuo mbalimbali huku msanii huyo akiamua kuanza na tour hiyo katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM).

Katika tour hiyo ambayo watu wengi walikuwa wakijiuliza inahusika na nini , Idris ameianza kwa kuwahamasisha  vijana kwa kupima afya zao ikiwa yeye mwenyewe ni mmoj aya mfano ya waliohudumiwa na watumishi wa afya kupima afya yake.

Vijana wengi wamejitokeza katika tour hiyo huku  wakiwa  wamehamasika kupima afya na kuhamasisha na wengine pia.

Idris akiwa katika viwanja vya chuo cha UDSM , akiwa mmoja kati ya wanaokwenda kupima afya.

 

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.