Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Msami amefunguka maengi alipokuwa katika mahojiano na mwanahabari kutoka Clouds Tv katika kipindi cha xxl na kuongelea mahusiano yake na Irene Uwoya yalivyokuwa mpaka kuja kuachana kwao.
msami anasema kuwa akiwa katka mahusiano na irene godzilla aliwahi kumpigia simu na kumwambia mambo mengi ya kumponda na kumkandia ili irene uwoya amuache
Nikiwa katika mahusiano na irene godzila aliwahi kumpigia simu irene na kunipondea sana ,
Lakini hata hivyo kutokana na mahusiano ya kindoa ambayo hayakuwahi kuvunjika kati ya irene na mme wake aliona ni bora kuachana na irene ili kuachia wayamamlize ingwa haikuwezekana lakini anakiri kuwa hata alipoamua kuachana nae alikuwa bado anampenda.