Wolper Amwita Harmonize Tapeli.

Mwanadada Wolper ameamua kumlipua harmonize na kumwita tapeli baada ya harmonize kutangaza katika vyombo vyahabari kuwa kutakuwa na show yake mbagala na katika show hiyoa atakaekuwa aki-host ni hjackline wolper.

Harmonize alitoa taarifa hiyo na kusema kuwa hana bifu na Jacky na kuwa wameamua kuanzia sasa kufanya kazi pamoja ili kuondoka kuwagawa mashabaki. lakini baada ya tangazo hilo la Harmonize, uongozi wa Jacky ulikanusha taarifa hizo na pia Jacky mwenye anmesemakuwa hayupo kabisa tanzania na kwamba wanaofanya na kutangaza hayo ni matapeli sugu.

TANGAZO TANGAZO , NAOMBENI MTAMBU KUWA SIPO TANZANIA NA WALA SITAKUWEPO KABISA KATIKA SHOW  YOYOTE, IWE YA MBAGALA AU YA POSTA , MIMI KAMA WOLPER SIHUSIKI…YOTE WANAYOYASEMA NI UONGO NA WALA SIHUSIKI..SITAKI WATU WATUMIE JINA LANGU KUVUTA WATU, EPUKANA NA MATAPELI ..ASANTE SANA…#EPUKAMATAPELISUGU #ACHENIKUTUMIAJINALANGUKWANGUGU #SIPOTANZANIANASIRUDIMPAKAJULY.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.