Uongozi wa Wolper Wakanusha Taarifa za Wolper Kutokea katika Show ya Harmonize

Hivi karibuni mapema siku ya leo Msanii harmonize aliufurahisha umati kwa kile alichokitangaza kuwa   aliyewahi kuwa mpezni wake na kisha kugombana nae  sana katika mitandao ya kijami Jackline Wolper  atakuwpo katika show inayokuja ya harmonize.

Harmonize alisema kuwa  ameamua kufanya show hiyo na kumuweka host Jacky ili kwathibitishia mashabiki waliowahi kuwatengeneza wakiwa pamoja kwamba wanafanya kazi kwa sasa laki ni hakuna tena mapenzi.

Hata hivyo jitihada za kumtafuta jacku ziligonha mwaba kwa sababu mwanadada huyo hakuwa anapatikana lakini walimpowapata uongozi wa jacky walisema kuwa  hawana taarifa zozote kuhusu  show hiyo na kwamba hakuna kitu kama icho.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.